Umepunguza chumvi.
Umeacha kula vyakula vya mafuta kama nyama na mayai.
Unafanya mazoezi kila siku.
Unameza dawa kila siku.
Lakini presha iko pale pale.
Ukiacha tuu kumeza dawa siku moja — presha inarudi.
Ukipata tuu wasiwasi kidogo — presha inapanda.
Sio kosa lako.
Ni kwa sababu hujaambiwa huu ukweli.
Presha sio ugonjwa.
Bali ni dalili ya tatizo kubwa zaidi mwilini.
Ni ishara kwamba mishipa yako ya damu haitanuki vizuri,
hivyo damu haipiti kwa urahisi.
Tafiti nyingi zinaonesha
Sukari ndio huharibu mishipa ya damu zaidi
kuliko chumvi na vyakula vya mafuta.
Sukari inapozidi mwilini, husababisha presha kwa njia 3:
Hutafuna mishipa ya damu kama kutu inavyotafuna chuma —
na kuzuia mishipa kutanuka vizuri.
Husababisha makovu yanayoziba njia ya damu kupita.
Huharibu figo, na kusababisha maji kuzidi kwenye damu.
Tatizo kubwa watu wengi wamedanganywa kwamba
chumvi nyingi husababisha presha.
Ukweli ni kwamba:
Chumvi nyingi haiwezi kusababisha presha kama figo zako hazina tatizo.
Kwa sababu chumvi ikizidi mwilini inaweza kutolewa kupitia jasho na mkojo.
Shida huanza pale ambapo
sukari tayari imeshaharibu figo zako kimyakimya.
Unaweza usiwe na dalili zozote za figo kufeli —
lakini Ukweli ni kwamba figo zako hazichuji chumvi vizuri
Na ndio maana:
Ukila chumvi kidogo tuu… presha inapanda haraka.
Kwa Ufupi:
Sukari ndio mbegu ya presha
Na chumvi ni kama mbolea tuu.
Ndio maana kuacha kutumia chumvi
sio suluhisho la kudumu kwa presha.
Na hali huwa mbaya zaidi
kama sukari hii ikiendelea kulundikana mwilini bila kudhibitiwa.
Inaweza kusababisha:
Na hii ndio sababu
watu wengi wanaotumia dawa za presha maisha yao yote —
huishia kupata stroke au figo kufeli.
Kwa hiyo kama unataka kudhibiti presha kwa njia ya msingi kabisa —
anza kwa kupunguza vyakula vya sukari kama:
Ugali, wali, chapati, mandazi, mikate meupe, n.k.
Lakini kama huwezi kuishi bila hivyo vyakula —
usijali!
Tumeandaa mwongozo rahisi na wa bure utakao kusaidia:
Kula vyakula vya sukari bila wasiwasi
Kudhibiti sukari yako kabla haijaharibu mishipa
Kupunguza utegemezi wa dawa
Kulinda figo na moyo wako kwa njia ya asili
Mwongozo huu una thamani ya TSh 50,000,
Lakini kwa sasa —
watu 50 wa mwanzo tuu watatumiwa bure kabisa!
Usisubiri hali izidi kuwa mbaya.