Imedhibitika kisayansi kwamba ukila vyakula vyakutosha vya nyuzinyuzi pamoja na wanga husaidia kuzuia sukari kupanda
Mfano wa Vyakula vya nyuzinyuzi ni kama
Hupunguza kasi ya ufyonzwaji wa sukari
Huimarisha utendaji kazi wa insulini
Hupunguza njaa
Husaidia kupunguza shinikizo la damu
Husaidia kudhibiti uzito
Hupunguza uvimbe na makovu kwenye mishipa ya damu
Hupunguza cholesterol mbaya (LDL)
Huongeza cholesterol nzuri (HDL)
Huzuia kuganda kwa damu
Unachukua unga 5g unachanganya na maji robo lita alaf unakunywa
Kwa kila mlo tumia 5g na maji robo lita
Usizidishe 15g kwa siku
Unatumia kila unapotaka kula chakula
Kifuko Kimoja chenye vifuko 90 vya mwezi mzima bei yake ni 55,000/=
Kila kifuko au kipakiti kidogo ni 5g
Kama upo Dar Es Salaam unaweza kuletewa BUREE kwa maeneo ya Karibu
Mikoani pia unatumiwa BUREE na unalipia ukipokea mzigo
Tunapatikana Kariakoo Dar Es Salaam Jiran na Klabu ya Yanga
MAWASILIANO
0711883026[ KUPIGA TUU]
0741696939 [WHATSAPP TUU]