Dawa hizi zinakupa nguvu za muda mfupi, lakini baada ya muda zinakufanya kuwa tegemezi.
Zinapandisha presha ghafla, kuharibu mishipa ya damu, na kuongeza hatari ya kiharusi.
Unapoendelea kuzitumia, mwili wako huacha kuzalisha testosterone ya asili.
Zinakufanya uhisi umeimarika kwa muda, lakini hazitatui tatizo—hali inazidi kuwa mbaya.
Badala ya kuhatarisha afya yako, tumia virutubisho vya asili vinavyokurejeshea uwezo wa kudumu.
✅ Mbegu za maboga
✅ Mbegu za tikiti maji
✅ Kitunguu swaumu
✅ Tangawizi
✅ Epimedium
✅ Velvet
✅ Tende
✅ Oyster [Samaki wa maji chumvi]